IJUE MAMA WA MAASI YOTE: KHUTBA YA IJUMAA MUYINGA BURUNDI SHEIKH KISHK

Описание к видео IJUE MAMA WA MAASI YOTE: KHUTBA YA IJUMAA MUYINGA BURUNDI SHEIKH KISHK

Ni ziara a Sheikh Kishk Nchini Burundi 2024, Ziara hio iliambatana na Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Kabiri Muyinga Nchini Burubdi Tarehe 24/05/ 2024 . Mada Ikimuelezea mama wa maasi yote, Je ni nani au nikipi? Inshaallah fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке