Ally Hapi Aweka Msisitizo Matumizi ya Nishati safi Nchini

Описание к видео Ally Hapi Aweka Msisitizo Matumizi ya Nishati safi Nchini

Ni rai yetu kwa kampuni mbalimbali kuongeza mtandao wa kusambaza nishati safi lakini pia watoe elimu ya kutosha kuhusiana na nishati safi ili lile lengo la asilimia 80 ya watanzania kutumia nishati safi kufikia mwaka 2034.

Ndugu Ally Hapi - Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa.

#samiaapp
#kaziiendelee

Комментарии

Информация по комментариям в разработке