Mwanzo Mwisho Alichokisema Rais Samia Mbele ya Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi

Описание к видео Mwanzo Mwisho Alichokisema Rais Samia Mbele ya Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia maafisa wakuu wandamizi wa Polisi katika ukumbi wa Chuo Cha Polisi Moshi kufuatia kushuhudia gwarise la maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania amelipongeza jeshi la Polisi kwa kazi nzuri wanayofanya na kulitaka lifanyie kazi baadhi ya mambo yanayolalamikiwa, ikiwemo mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai.

Katika hatua nyingine Rais Samia amezungumzia tukio la mauaji ya Ali Kibao, Amewajibu Mabalozi na kutoa onyo kali kwa wale aliowaeleza kuwa wanapanga kuhatarisha amani ya nchi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке