Vijana wa Makueni na Machakos watoa damu kusaidia matibabu ya waliopata majeraha maandamanoni

Описание к видео Vijana wa Makueni na Machakos watoa damu kusaidia matibabu ya waliopata majeraha maandamanoni

Zaidi ya vijana mia kadhaa katika eneo la Mlolongo, kaunti ya Machakos, wamechangia damu kusaidia matibabu ya wenzao ambao walipata majeraha ya risasi wakati wa maandamano ya Jumanne na alhamisi ya GenZ.

Wenzao hao sasa wamelazwa katika hospitali mbalimbali nchini.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке