MPINA HAPOI AMWAMBIA NAIBU SPIKA "NIMEREJEA BUNGENI" AMPIGA SWALI GUMU NAIBU WAZIRI

Описание к видео MPINA HAPOI AMWAMBIA NAIBU SPIKA "NIMEREJEA BUNGENI" AMPIGA SWALI GUMU NAIBU WAZIRI

Mbunge wa jimbo la Kisesa Luhaga Mpina kwa mara ya kwanza amefiks Bungeni na kuuliza swali bunge baada kukaa nje ya bunge kwa vikao 15 kutokana na kusimamisha Juni 24,2024 wakati wa bunge la bajeti baada ya mwenyekiti wa kamati ya Haki,Maadili na Madaraka ya bunge kupitia mwenyekiti wake Ally Makoa kumkuta na hatia ya kudharau mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za bunge

Комментарии

Информация по комментариям в разработке