Mipasuko ya ardhi Nakuru

Описание к видео Mipasuko ya ardhi Nakuru

Watu zaidi ya 1000 wameathirika katika eneo la kaptebwa, Nakuru Magharibi kutokana na mvua inayoendelea kunyesha nchini. Waathiriwa hawa wakipata hifadhi ya muda katika kanisa la Kaptebwa Baptist huku baadhi ya sehemu za aridhi katika kaunti hiyo ya Nakuru zikiporomoka.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке