Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Kimasomaso -Issa Matona

  • Zanzibar orchestra
  • 2025-09-19
  • 53560
Kimasomaso -Issa Matona
  • ok logo

Скачать Kimasomaso -Issa Matona бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Kimasomaso -Issa Matona или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Kimasomaso -Issa Matona бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Kimasomaso -Issa Matona

Aye masomaso mwanangu asimuone
Kimasomaso mwanangu asimuone
Kwa jicho la hasidi mwanangu asimuone
Ah na wambaya wetu eeh mwanetu asimuone
Masooo mwanangu asimuone

Hongera mwanangu eeh hongera
na mimi mamae tuhongere
Nasema yuwapi weeh
yuwapi mamae harusi aje hapa tuhangaike nae
nasema yuwapi jamani leo
yuwapi mama
Na mamae harusi namtaka aje hapa
Shangazi lake harusi nae namtaka aje hapa
Na dadaake harusi nae namtaka aje hapa
Na bibiake nae namtaka aje hapa
na somo yake harusi namtaka aje hapa
tuje tumfunze mwari asije kufedheheka
ukiitwa na mumeo mama wajibu kumuitika
ukiitwa ewe bibi uitike bwana labeka
umridhie mumeo mama kwa kila analotaka

ijapokuwa na mwao sitaki mnitukane
nnawaita wazazi waje hapa tuonane
wanipe mkaja wangu upatao mia nane
umuweke utangani mwari amsemeza aseme
uinue uso nyuma mama wahisani uwaone
uangaze kila pembe na wabaya uwaone
anapokuwa mumeo hujambo muulizane
uufungue mkoba mama kilo ndani ukione
utahadhari na shoga wasije wakunyang’anye
salkheri njiani wengine si wanaume
leo umepata wako mahawara na wakome

hodi hodi nnakuja kuja na langu shauri
mlombali msogee wala msitaakhari
makungwi mkusanyike imeingia hatari
vifunikavyo vyaliwa vinaachwa vilowazi
mwari amevunja ungo mutahadhari walezi

somo yake biharusi hebu nitafutieni
na kungwi lake harusi wote waje hapa uwanjani
tuje tumfunze mwari malezi ya kizamani
unapopelekwa kwako mama unapofika nyumbani
ukacheke na mumeo mama umpumbaze chumbani
wakaja na ndugu zako wakaribishe chumbani
wakaja mawifi zako mama uinuke kitandani
wanapokuja wakwezo uwaweke ukumbini
wakaja shemegi zako uwaweke barazani
wakaja mashoga zako sema nao dirishani
wakikuaga kwaheri uwambie karibuni
ufunge mlango wako urejee kitandani
huku ukichekacheka na macho yawe laini

nasema na dada zangu nyie mnaokaa mjini
nyie mnao waume leo sikizeni kwa makini
karandinga limelia vibaibui begani
muwazuwie waume wasirande majiani
muwafunge kwa vitanzi muwafiche maziwani
akija akikutoka mume humuoni asilani
atapikiwa mkate na vichuzi bakulini
atafukizwa na udi na asumini kitandani
atakupita na honda yule sie bwana khalfani
utolewe kwate lako ulie na mito kitandani

ndugu zangu maharusi sikizeni nnasema
tumengia mitamboni watu wote wanaona
wazazi wa mke na mume wote wamekusanyana
huu ni wangu wasia msiseme natukana
mashoga wa siku hizi ujue hawana maana
mkikutana njiani eti hujambo huulizana
utamfanya mpenzi siri zenu kupeana
umkaribishe njiani furaha na taadhima
utampikia dhifa nyingi nyingi zilonona
umuoneshe wazazi huyu baba huyu mama
ukimuonesha shemegi atamwinukia wima
atafanya kila mbinu apate kumuandama
fadhila na ihisani hatozikumbuka tena
akuache unalia njiani unalalama
utatamani akhera nawe ungali mzima

kama atakwita bibi nimekuzalia nani
miezi miwili mitatu mama mibegi yako kichwani
huu ni wangu wasia Issa nnasema uwanjani
sikizeni kwa makini nyie wari mlovipembni

ukaisikia hodi mama ushungi uwe kichwani
huenda akawa mumeo mama usimkere moyoni
kama ndie bwana pita kwa sauti ya huzuni

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Swahili: Kimasomaso
    Swahili: Kimasomaso
    12 лет назад
  • subira(huvuta heri) -  Khadija baramia #taarab #oldisgold #zanzibarmusic #swahilimusic
    subira(huvuta heri) - Khadija baramia #taarab #oldisgold #zanzibarmusic #swahilimusic
    1 год назад
  • Mke Kumpa Talaka
    Mke Kumpa Talaka
    1 год назад
  • ПОЧЕМУ ТАМЕРЛАНА СКРЫЛИ ИЗ ТАРТАРИИ
    ПОЧЕМУ ТАМЕРЛАНА СКРЫЛИ ИЗ ТАРТАРИИ
    2 дня назад
  • Taarab Zanzibar:Aso kasoro hakuna -Fatma issa ||taarab zilipendwa ||taarabu za zamani
    Taarab Zanzibar:Aso kasoro hakuna -Fatma issa ||taarab zilipendwa ||taarabu za zamani
    1 год назад
  • Leo tena - Abdallah issa| swahili taarab|taarab asilia zanzibarl|zanzibar songs |Abdallah issa songs
    Leo tena - Abdallah issa| swahili taarab|taarab asilia zanzibarl|zanzibar songs |Abdallah issa songs
    1 год назад
  • Shilole ft Q - Chillah - Lawama {Official Video}
    Shilole ft Q - Chillah - Lawama {Official Video}
    14 лет назад
  • UKHTY RIZIKI HONGERA MWANANGU-TUMBO LA UGERE LINAUMA MNO! HOLI  PAMBEEE KUDAMSHI KAMA KOTE
    UKHTY RIZIKI HONGERA MWANANGU-TUMBO LA UGERE LINAUMA MNO! HOLI PAMBEEE KUDAMSHI KAMA KOTE
    3 года назад
  • Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи
    Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи
    13 часов назад
  • SEGERE - SEGERE ORIGINAL
    SEGERE - SEGERE ORIGINAL
    1 год назад
  • Swahili: Bure
    Swahili: Bure
    12 лет назад
  • East African Melody Modern Taarab - Zoa Zoa (Official Video)
    East African Melody Modern Taarab - Zoa Zoa (Official Video)
    10 лет назад
  • Grand Orchestre Taarab de Zanzibar feat. Makame Faki
    Grand Orchestre Taarab de Zanzibar feat. Makame Faki "Salaam Aleikum"
    9 лет назад
  • TAARABU_ZOTE_MPYA_KALI_2026 MIXSTAPE VOL 5 MIXED BY DJONETZ 0626546563 #typebeat
    TAARABU_ZOTE_MPYA_KALI_2026 MIXSTAPE VOL 5 MIXED BY DJONETZ 0626546563 #typebeat
    1 месяц назад
  • HARUSI ~~ ISSA MATONA
    HARUSI ~~ ISSA MATONA
    14 лет назад
  • Njiwa 1
    Njiwa 1
    5 лет назад
  • HALI YANGU   KIVURANDE JR  {Official video}
    HALI YANGU KIVURANDE JR {Official video}
    1 год назад
  • QADIRIYA-MwembeMakumbi
    QADIRIYA-MwembeMakumbi
    10 лет назад
  • MSUMENO / ISSA MATONA /JKT TARAAB
    MSUMENO / ISSA MATONA /JKT TARAAB
    8 лет назад
  • MTOTO KITU NA BOX {audio} - ADBULI MISAMBANO - T.O.T. TARAAB
    MTOTO KITU NA BOX {audio} - ADBULI MISAMBANO - T.O.T. TARAAB
    9 лет назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com