Watoto wawili kutoka kijiji cha Kabartegan eneo bunge la Bureti wauawa na watu wasiojulikana

Описание к видео Watoto wawili kutoka kijiji cha Kabartegan eneo bunge la Bureti wauawa na watu wasiojulikana

Familia mmoja kutoka kijiji cha kabartegan eneobunge la bureti Kaunti ya Kericho wanaomboleza vifo vya wana wao wawilli baada ya miili yao kupatikana.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке