Muro avutiwa na Ateba baada ya kufunga dhidi ya Al Hilal, achambua ubora wa mastaa Simba

Описание к видео Muro avutiwa na Ateba baada ya kufunga dhidi ya Al Hilal, achambua ubora wa mastaa Simba

Mchambuzi wa soka, Godlisten Muro, amesema kuwa licha ya klabu ya Simba kuambulia sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Hilal, wachezaji wao wamepata faida kubwa kwa kubakisha utimamu wa mashindano wanapoelekea kwenye mechi za kimataifa.

Muro amempongeza Aishi Manula kwa kurejea kikosini na kuonyesha kiwango cha juu dhidi ya Al Hilal, huku pia akimpa sifa Leonel Christian Ateba kwa kufunga bao moja na kuanza kumpa mtihani Kocha wa Simba kuhusu ushindani kwenye safu ya ushambuliaji.

























































#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Комментарии

Информация по комментариям в разработке