ASC Timetables: Hatua kwa Hatua namna ya Kutengeneza Ratiba ya Shule kwa Haraka na Ufanisi

Описание к видео ASC Timetables: Hatua kwa Hatua namna ya Kutengeneza Ratiba ya Shule kwa Haraka na Ufanisi

Kupitia Video hii fupi nitaonesha namna ya Kupanga Ratiba kwa Kutumia Software ya ASC Timetables https://www.asctimetables.com
Tafadhali Subscribe Account yetu kutusapoti
Chagua mahali pa Kuanzia kwa kubonyeza muda hapa chini

00:00 Introduction
01:13 Kujaza taarifa za Shule
01:30 Kusajili Vipindi vya shule na Muda wake
03:45 Kusajili Breaks/Mapumziko
05:42 Kusajili Siku za Masomo
06:36 Settings za Timetable
10:27 Kusajili Masomo ya Shule
13:20 Kusajili Madarasa na Mikondo
17:35 Kusajili Walimu
20:40 Somo gani liwe Muda gani na siyo muda upi
28:18 Kuseti Priority za Walimu kwenye Ratiba eg Mkuu afundishe muda gani
30:11 Kusajili vipindi vya Mwalimu kwa somo na Darasa
33:52 Namna ya Kutengeneza Vipindi vya Kuunganisha Madarasa au Mikondo zaidi ya mmoja
40:25 Kufanya Testing ya Timetable
41:28 Kutengeneza ratiba kwa Mara ya Kwanza
48:19 Formatting ya Timetable
50:05 Printing/Exporting

Please Subscribe, Like, Comment and Share
(c) Kiyabo K. Nhende 2024
All Rights Reserved
[email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке