Jinsi ya kutengeneza Vanilla buttercream icing ya kupamba keki kwa wanaoanza kujifundisha

Описание к видео Jinsi ya kutengeneza Vanilla buttercream icing ya kupamba keki kwa wanaoanza kujifundisha

Vanilla butter icing
mahitaji
500g +200g icing sugar au utaongeza kiasi kitakachotosha kupata msimamo wa icing/frosting yako unavyotaka iwe.

250g butter/magarine/siagi
Robo kijiko cha chai maji
Vanilla kiasi
Rangi kiasi

Ukitaka kuona jinsi ya kutumia hiyo butter icing katika kupamba keki👇
   • Jinsi ya kupamba vanilla keki kwa van...  

Jinsi ya kutengeneza chocolate butter icing👇
   • Jinsi ya kutengeneza chokolate butter...  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке