Maeneo mengi ya Nairobi yashuhudia athari za mvua

Описание к видео Maeneo mengi ya Nairobi yashuhudia athari za mvua

Kaunti 38 nchini ziko katika hatari ya kukumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini. Tayari zaidi ya watu elfu moja wameathirika na mafuriko ambayo yamekuwa yakishuhudiwa huku mamia ya wakaazi wa kaunti ya nairobi wakikadiria hasara kubwa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке