Huu ndio ugonjwa unaomsumbua Malaika na aliojitolea kuupazia sauti kusaidia wengine wanaosumbuliwa

Описание к видео Huu ndio ugonjwa unaomsumbua Malaika na aliojitolea kuupazia sauti kusaidia wengine wanaosumbuliwa

Baada ya ukimya wa takriban miaka mitatu, Malaika amerejea tena na wimbo mpya uitwao Baila. Amechill na Sky kuzungumzia ukimya wake na shughuli za kijamii alizokuwa akizifanya kipindi hicho

Комментарии

Информация по комментариям в разработке