Ally Kamwe, Gabo Zigamba waonesha washindana kucheza singeli mbele ya Rais Samia

Описание к видео Ally Kamwe, Gabo Zigamba waonesha washindana kucheza singeli mbele ya Rais Samia

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe na Msanii wa filamu na tamthilia Gabo Zigamba wameonesha umahiri wao kwenye kucheza muziki wa singeli kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Zanzibar ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке