PRE SEASON: Kocha Simba afunguka anavyoisuka safu yake ya ushambuliaji

Описание к видео PRE SEASON: Kocha Simba afunguka anavyoisuka safu yake ya ushambuliaji

SIMBA MISRI: Kutoka Ismailia nchini Misri, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids leo amefunguka juu ya siku mbili alizokaa na kikosi cha timu hiyo na kugusia jinsi atakavyotengeneza safu kali ya ushambuliaji itakayofunga magoli ya kutosha….

Haya ni maandalizi ya ‘mnyama’ Simba SC kuelekea msimu ujao……

#SimbaSC #SimbaMisri #SimbaPreSeason #Preseason #FadluDavids

Комментарии

Информация по комментариям в разработке