"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"

Описание к видео "Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"

Leonardo @laughs_on_leonardo ni moja kati ya wachekeshaji mahiri na msomi kutoka nchini Tanzania.

Mwandishi wa BBC @mcdavid_nkya_ aliongea na @laughs_on_leonardo na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo msemo wa D mbili na wazo la kutumia shati lake maarufu katika vichekesho vyake mtandaoni.

Tembelea ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili kutazama mahojiano haya kwa urefu

#bbcswahili #tanzania #uchekeshaji

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке