Barnaba Classic - Sayuni (Showcase Acoustic)

Описание к видео Barnaba Classic - Sayuni (Showcase Acoustic)

Acha nikuambie usichokijua wakati tunajiandaa kufanya hiki kipindi na Barnaba alikata uzi wa Guitar mmoja lakini alilazimika kupiga Guitar hivyo hivyo je unaweza kuhisi uzi gani au namba ngapi ulikatika?

Комментарии

Информация по комментариям в разработке