MUNGU AKIKUTOA HAPA, NENDA UKAMTUMIKIE KAMA MZEE WA KANISA.

Описание к видео MUNGU AKIKUTOA HAPA, NENDA UKAMTUMIKIE KAMA MZEE WA KANISA.

MUNGU AKIKUTOA HAPA, NENDA UKAMTUMIKIE KAMA MZEE WA KANISA.

Wakati mwingine unaweza kujikuta kwenye hali ngumu ya maisha, magojwa yasiyoisha, migogoro na mengine mengi, sio kwa sababu wewe ni mtenda dhami, bali kwa sababu umeuacha uhalisia wako mwenyewe.

Mungu anapokupa jukumu la kufanya, ni vyema sana kuhakikisha unalitimiza kwani ghadhabu ya Mungu inaweza kuwa kubwa kuliko vita ya adui kwenye maisha yako.
_____________________
Ili uwe wa kwanza kupokea taarifa zetu pindi tunapochapisha tafadhali (Like, Follow, Share, Comment na Subscribe) kwenye chaneli yetu ya Eden TV Online.
________________________
Kwa mawasiliano na jinsi ya kufika kanisani, tupigie kupitia namba +255743758507.
Mungu akubariki.
@everyone
@TopFan

Комментарии

Информация по комментариям в разработке