DC MPANDA, HAKIKISHENI MNAWAWEKEA WATOTO WAZINGIRA MAZURI, NA KUZUNGUMZA NAO

Описание к видео DC MPANDA, HAKIKISHENI MNAWAWEKEA WATOTO WAZINGIRA MAZURI, NA KUZUNGUMZA NAO

Wazazi na walezi mkoani katavi wametakiwa kuwa Makini na watoto wao ili kupunguza vitendo vya ukatili wa kijinsia ndani ya Mkoa.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph wakati akizungumza na wanawake kwenye Tuzo za mwanamke wa THAMANI mkoani katavi iliyofanyika November 30 mwaka huu ambapo amesema kuwa wazazi wasimuamini mtu yoyote hasa kwenye malezi ya mtoto.

#mpandaradiofm97.0
#sauti ya katavi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке