Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka

Описание к видео Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka

Hali ya switafahamu imegubika wakaazi eneo la Mpaka wa Kenya na Somalia katika kijiji cha Ishakan Kiunga eneo bunge la Lamu Mashariki baada ya kaunti ya Garissa kumteua chifu ambaye atakasimamia eneo la Darsalam point ambalo linamilikiwa na kaunti ya Lamu . eneo hilo lenye raslimali za gesi na Petroli ndilo lilounganisha Kiunga Lamu na taifa la Somalia .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке