VIJANA KAGERA WAMKOSHA MKURUGENZI TDYA AWAAHIDI MAKUBWA

Описание к видео VIJANA KAGERA WAMKOSHA MKURUGENZI TDYA AWAAHIDI MAKUBWA

Ni mapokezi ya Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilokuwa la kiserikali la TDYA alipofika Mkoani Kagera akitokea Nchini Marekani na kuvitembelea vikundi vinyofadhiliwa na shirika hilo katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке