Ijue Herufi A na Herufi Zisizoendana - S01EP26 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum

Описание к видео Ijue Herufi A na Herufi Zisizoendana - S01EP26 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum

Herufi A na herufi zisizoendana ni episode yetu ya 25. Herufi A na herufi zisizoendana hupatikana kimahesabu. Dk. Kuluthum anatuonyesha kwanini herufi A haiendani na Herufi nyingine. Vile vile Herufi A na herufi zisizoendana imetokana na episode yetu ya Herufi B.

Mnajimu Kuluthum anatueleza jinsi Nyota yako inavyoweza kukusaidia katika maamuzi haya.

Kama kawaida, usisite kutuachia maswali yako.

Kujua Nyota yako kabla ya kufungua biashara yako ni muhimu sana. Kama unamaswali utatupigia simu au tuachie comment hapo chini.

Tembelea Facebook account   / utabiriwanyota  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке