Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть HII AIBU!CHAKE-WETE WAMEKOSA NINI?HAKUNA SIASA KWENYE HILI JAMBO| SIASA YETU KUTENGENEZA BARABARA

  • Tifu Tv
  • 2024-07-30
  • 9221
HII AIBU!CHAKE-WETE WAMEKOSA NINI?HAKUNA SIASA KWENYE HILI JAMBO| SIASA YETU KUTENGENEZA BARABARA
  • ok logo

Скачать HII AIBU!CHAKE-WETE WAMEKOSA NINI?HAKUNA SIASA KWENYE HILI JAMBO| SIASA YETU KUTENGENEZA BARABARA бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно HII AIBU!CHAKE-WETE WAMEKOSA NINI?HAKUNA SIASA KWENYE HILI JAMBO| SIASA YETU KUTENGENEZA BARABARA или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку HII AIBU!CHAKE-WETE WAMEKOSA NINI?HAKUNA SIASA KWENYE HILI JAMBO| SIASA YETU KUTENGENEZA BARABARA бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео HII AIBU!CHAKE-WETE WAMEKOSA NINI?HAKUNA SIASA KWENYE HILI JAMBO| SIASA YETU KUTENGENEZA BARABARA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema hajarizishwa na maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Chake-Wete inayojengwa na Mkandarasi Kampuni ya MECCO iliyotarajiwa kumalizika mwishoni mwa mwezi wa nane mwaka huu lakini hadi sasa ujenzi huo bado Unasuasua .



Ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara hiyo ambayo kutokukamilika kwake imekuwa ni changamoto kubwa kwa wananchi wanaoitumia barabara hiyo kwa shuhuli mbali mbali za kujitafutia kipato.



Mhe. Makamu wa Pili wa Rais ameitaka Kampuni ya MECCO kujitathmini na kufanya uharaka wa kukamilisha ujenzi wa barabara hio ili kurejesha Imani kwa wananchi ambao wanapata usumbufu kutokana na uchakavu wa barabara hiyo na endapo watashindwa kukamilisha ujenzi huo kwa wakati uliopangwa watakuwa wamejinyima fursa ya kuendelea kufanya kazi na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.



Amesema kuwa kumekuwa na ubabaifu wa hali ya juu kwa baadhi ya wakandarasi wanaojenga miradi ya Serikali kwa kutotimiza makubaliano ya mikataba jambao ambalo linaisababishia hasara kubwa Serikali kwa kutofikia malengo ya kuwaletea wananchi maendeleo.



Akikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa soko la samaki na mboga mboga lililopo Mzambarau Takao na soko la wajasiri amali Kifumbikai Wete Makamu wa Pili wa Rais ametoa mwezi mmoja kwa wananchi waliokwisha kulipwa fidia kuondoka katika eneo hilo ili kupisha ujenzi wa soko pamoja na kupisha utanuzi wa Barabara.



Amesema kuendelea kuwepo kwa wananchi hao katika eneo hilo kunakwamisha maendeleo ya ujenzi huo ambao kukamilika kwake kutawaondolea wananchi wa Mzambarau Takao na vijiji jirani changamoto ya kufata huduma ya soko maeneo ya mbali pia litatoa fursa kwa wananchi kuweza kufanya biashara zao katika mazingira mazuri na salama.



Aidha Mhe. Hemed amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano mkubwa kwa Kampuni mbali mbali zinazojenga miradi ya maendeleo Zanzibar ili kuhakikisha miradi hio inamalizika kwa wakati uliopangwa na kuwaondolea kero wananchi wa Unguja na Pemba.



Kwa upande wao Mawaziri wa Wizara zenye dhamana ya kusimamia miradi hio wamesema kuwa watahakikisha kwa hali yoyote ile miradi ambayo ipo chini wa wizara zao inamalizika kwa wakati uliopangwa ili kuendana na dhamira ya Rais Dkt Hussen Mwinyi ya kuwaletea maendeleo wananchi wake.



Mawaziri hao wamewataka wakandarasi wa ujenzi wa miradi hio kuhakikisha wanaongeza nguvu kazi za kutosha sambamba na kuongeza kasi ya ujenzi ili kumaliza mradi hio kwa wakati kwa maslahi mapana ya Taifa na wananchi kwa ujumla.



Nao wakandarasi wanaojenga miradi hio wamesema ujio wa Mhe. Makamu wa Pili wa Rais utatatua changamoto mbali mbali zinazowakabili ikiwa ni pamoja na kucheleweshewa malipo jambo ambalo husababisha kuzorota kwa ujenzi wa miradi hiyo.



Hata hivyo wamemuahidi Mhe.Makamu wa Pili wa Rais kuwa watafanya kazi kwa jitihada zote ili kuhakikisha wanakamilisha miradi hio kwa wakati uliopangwa.




Miradi iliyotembelewa na kukaguliwa na Mhe. Makamu wa Pili wa Rais NI MRADI WA BARABARA YA CHAKE-WETE, MRADI WA SOKO LA SAMAKI NA MBOGA MBOGA MZAMBARAU TAKAO, SOKO LA WAJASIRIAMALI KIFUMBIKAI, UJENZI WA KITUO CHA AFYA JADIDA, UJENZI WA NYUMBA ZA MADAKTARI KINYASINI, KUKAGUUA MAENDELEO YA HOSPITAL YA WILAYA KINYASINI, UJENZI WA KITUO CHA AFYA KINYIKANI NA UJENZI WA KITU CHA AFYA KIUYU MINUNGWINI WETE PEMBA.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wananchi wa Mzambarau Takao mara baada ya kukagua ujenzi wa mradi wa soko la samaki na mboga mboga linalijengwa katika eneo hilo akiwa katika ziara zake za kukagua miradi ya maendeleo inayojengwa Kisiwani Pemba.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Huu ndio Mgao wa Mirathi katika Uislamu. Sh. Muharami Juma Doga.
    Huu ndio Mgao wa Mirathi katika Uislamu. Sh. Muharami Juma Doga.
    5 лет назад
  • HIZI HAPA HABARI ZA UKWELI KUTOKA KWENYE UWANJA WA VITA ASUBUI YA LEO TAREHE 04/03/2026
    HIZI HAPA HABARI ZA UKWELI KUTOKA KWENYE UWANJA WA VITA ASUBUI YA LEO TAREHE 04/03/2026
    2 часа назад
  • KUSUASUA KWA MRADI WA BARABARA YA CHAKECHAKE-WETE/MECCO WAELEZA SABABU
    KUSUASUA KWA MRADI WA BARABARA YA CHAKECHAKE-WETE/MECCO WAELEZA SABABU
    1 год назад
  • 🔴#LIVE: ISRAEL NA IRAN ZINASHAMBULIANA KWA MAKOMBORA MAZITO, HALI YA HATARI YATANGAZWA
    🔴#LIVE: ISRAEL NA IRAN ZINASHAMBULIANA KWA MAKOMBORA MAZITO, HALI YA HATARI YATANGAZWA
  • BALAA LA RAIS MWINYI UJENZI WA DARAJA LA UZI NG'AMBWA.
    BALAA LA RAIS MWINYI UJENZI WA DARAJA LA UZI NG'AMBWA.
    5 месяцев назад
  • Darajani Market Stone Town Zanzibar
    Darajani Market Stone Town Zanzibar
    4 года назад
  • MKE wa MAKAMU wa RAIS ZNZ Apata DARASA TZ BARA, ANENA HAYA...
    MKE wa MAKAMU wa RAIS ZNZ Apata DARASA TZ BARA, ANENA HAYA...
    4 года назад
  • RAIS MWINYI ALIVYOTINGA SOKO LA MWANAKWEREKE NA MKEWE KUNUNUA BIDHAA
    RAIS MWINYI ALIVYOTINGA SOKO LA MWANAKWEREKE NA MKEWE KUNUNUA BIDHAA
    1 год назад
  • ⚡️ Начался штурм столицы || Здание ЦРУ уничтожено
    ⚡️ Начался штурм столицы || Здание ЦРУ уничтожено
    3 часа назад
  • Waziri Gwajima asisitiza uwezeshaji wanawake bila itikadi za kisiasa.
    Waziri Gwajima asisitiza uwezeshaji wanawake bila itikadi za kisiasa.
    1 час назад
  • Chake Chake Pemba si mchezo @DiscoverZanzibar
    Chake Chake Pemba si mchezo @DiscoverZanzibar
    3 года назад
  • SNURA SASA NI MKULIMA, KURUDISHA PESA ALIYOVUNA KWENYE MUZIKI ?
    SNURA SASA NI MKULIMA, KURUDISHA PESA ALIYOVUNA KWENYE MUZIKI ?
    1 год назад
  • Testing an Electric Train of Tanzania from Dar es Salaam to Dodoma. Africa is Changing
    Testing an Electric Train of Tanzania from Dar es Salaam to Dodoma. Africa is Changing
    1 год назад
  • ROBOT AZUA TAHARUKI MJI MKONGWE ZANZIBAR
    ROBOT AZUA TAHARUKI MJI MKONGWE ZANZIBAR
    1 год назад
  • MAKAMO WA PILI ZANZIBAR ACHOSHWA NA WANAOJENGA BARABARA YA CHAKE-WETE, AWATAKA WAJITATHMINI.
    MAKAMO WA PILI ZANZIBAR ACHOSHWA NA WANAOJENGA BARABARA YA CHAKE-WETE, AWATAKA WAJITATHMINI.
    1 год назад
  • NAIBU WAZIRI WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ZANZIBAR  AKAGUA BARABARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
    NAIBU WAZIRI WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ZANZIBAR AKAGUA BARABARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
    2 недели назад
  • 🔴 СРОЧНО В ИРАНЕ ВЫБРАЛИ НОВОГО ВЕРХОВНОГО ЛИДЕРА - МОДЖТАБА ХАМЕНЕИ #новости #одиндень
    🔴 СРОЧНО В ИРАНЕ ВЫБРАЛИ НОВОГО ВЕРХОВНОГО ЛИДЕРА - МОДЖТАБА ХАМЕНЕИ #новости #одиндень
    2 часа назад
  • hatari ya scout, kwenye michezo hiii ni kama wamehitimu mafunzo  jkt
    hatari ya scout, kwenye michezo hiii ni kama wamehitimu mafunzo jkt
    3 года назад
  • BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
    BOMOA BOMOA YAZUA VURUGU ZANZIBAR
    1 год назад
  • SIRI YA NGUVU YA JESHI LA IRANI NI HATARI.
    SIRI YA NGUVU YA JESHI LA IRANI NI HATARI.
    2 часа назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com