SWAHILI: CPR kazini / kuangalia mwili kwa 3D

Описание к видео SWAHILI: CPR kazini / kuangalia mwili kwa 3D

Special thanks to ‘Be Roadwise Association of Kenya’ for their efforts and participation in translating and voice over of the Swahili version of this video.

Uhuishaji wa hii video ya 3D umetengenezwa ili kushiriki habari ya namna ya kuokoa uhai ili kuonyesha umma umuhimu wa ufanisi mzuri wa C.P.R.

Kubana kifua kwa njia inayofaa utengeneza bombabandianausukumadamuyenyeoksijeni kwenye akili ili kusababisha akili ibaki hai.C.P.R pia usababisha msukumo wa damu na oksijeni kupitia kwenye misuli ya moyo ili iwe na nafasi nzuriyakufanikiwawakati madaktariwahuduma ya kwanza watakapowasili A.E.D.

Baada ya mshtuko wa moyo kufanyika. Akili uanza kuaribika ndani ya mda wa dakika nne na baadayadakika kumihaiwezi kurejeshwakatika hali yake ya kawaida. C.P.R ndio njia pekee ya kuokoa maisha huku tukingojea kifaa cha kitiba cha kusaidia kuokoa uhai kifike.

Kituo cha kuokolea kinawajibika kwa kusambaza uamasishaji wa elimu ya umma kuhusu ni wakati gani na kwa njia gani unaweza kutumia a.e.d na kufanya CPR kwa ufanisi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке