Mabuyu ya Biashara/Mapishi rahisi ya ubuyu mtamu sana wa mombasa /Ubuyu wa Zanzibar/ Ubuyu /Mabuyu

Описание к видео Mabuyu ya Biashara/Mapishi rahisi ya ubuyu mtamu sana wa mombasa /Ubuyu wa Zanzibar/ Ubuyu /Mabuyu

#kenyanyoutuber #Ubuyuwazanzibar





MABUYU YA BIASHARA

Mahitaji

Ubuyu vikombe vitano
Sukari vikombe vitano
Maji vikombe viwili
Iliki kijiko cha chai
Vanilla kijiko cha chai (unaeza tumia flavor yoyote)
Pilipili manga kiasi (sio lazima)
Rangi nyekundu kijiko cha chai
Baking powder kijiko cha chai (hii inasaidia mabuyu kushikana sio lazina unga mlwa mabuyu.



________________________________________________________________________________________




Thank you so much for stopping by please do subscribe its for free. ❤️

Комментарии

Информация по комментариям в разработке