MAONESHO YA NANENANE 2024 MKOANI ARUSHA, WAKULIMA WAPATA ELIMU PAMOJA NA UZOEFU

Описание к видео MAONESHO YA NANENANE 2024 MKOANI ARUSHA, WAKULIMA WAPATA ELIMU PAMOJA NA UZOEFU

Hivi ndivyo NaneNane ilivyoenda vizuri hapa Arusha Tulikua pamoja na wakulima tukiwapa ujuzi na kujadiliana mambombalimbali yanayohusu kilimo cha mahindi na mbegu bora kabisa kutoka Western Seed Company Ltd, Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa wale wote walioweza kufika kwenye banda letu na tunawakaribisha tena mwakani, wale wote ambao hawakufika mwakani tena tutakuwepo NaneNane karibuni sana.

#westernseedtanzania
#nanenane2024 #aminikaimeaminika #vunazaidi #mbeguniAminika

Комментарии

Информация по комментариям в разработке