Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть WAZEE YA PEMBA WAFUNGUKA MBELE YA MH OMO

  • Tifu Tv
  • 2025-09-18
  • 8810
WAZEE YA PEMBA WAFUNGUKA MBELE YA MH OMO
  • ok logo

Скачать WAZEE YA PEMBA WAFUNGUKA MBELE YA MH OMO бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно WAZEE YA PEMBA WAFUNGUKA MBELE YA MH OMO или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку WAZEE YA PEMBA WAFUNGUKA MBELE YA MH OMO бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео WAZEE YA PEMBA WAFUNGUKA MBELE YA MH OMO

Mkoa wa Kaskazini Pemba
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Othman Masoud Othman amesema kwamba mafanikio yoyote katika nchi yanahitaji kuwa na kiongozi muaminifu na waadilifu jambo litakaloleta heshima na mshikamano miongoni mwa wanaongozwa.
Mhe. Othman ambaye pia ni mwenyekiti wa Taiafa wa chama hicho ameyasema huko Kambini Kichokochwe Jimbo la Kojani wilaya ya wete mkoa wa Kaskazini Pemba alipozungunza na wanachama na wananchi katika mkutano wa hadhara kuendelea na kampeni ya kuwania urais kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu.

Mhe. Othman ambaye pia ni makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar amesema kwamba Zanzibar sio nchi ya kuwa hivi ilivyo sasa kiuchumi na ilipaswa kuwa mbele zaidi, lakini kinachokwaza ni kukosekana kwa uongozi uliochaguliwa na wananchi na kwamba jeuri za viongozi walizonazo wanazowfanyia wananchi zinatokana na kutochaguliwa na wananchi wenyewe.
Mgombea huyo amesema kwamba kauli ya uchaguzi wa mwaka huu ni wa kuinusuru Zanzibar ni jitihada za kuitoa katika balaa la viongozi wenye viburi wanaozulumu haki za wananchi na wanaotumia mbinu za ghiliba katika kuingia madarakani.
Aidha amefahamisha kwamba kutokana dhuluma iliyopo , wazanzibari wengi wameshindwa kupewa hata vitambulivyo vya ukaazi jambo ambalo ni dhuluma kubwa na kwamba nilazima hali hiyo iondolewe ndio Zanzibar itaweza kukaasawa sawa na kurejeshwa mikononi mwa wananchi na kuondoa viburi walivyonavyo baadhi ya viongozi.
Mhe. Othman amesema kwamba nchi ni ya wananchi wote na wao wanapaswa kuamua nchi yao eendeshwe naamna gani na kwamba uchaguzi ujao ni kuondoa kiburi cha viongozi kutowaheshimu wananchi na pia kuondoa ufusadi ndani ya Zanzibar.
Amesema kwamba njia pekee inayohitajika ni kujitahidi kushirikiana kuwaondoa CCM na kupambana nao na kamwe wananchi hawapaswi kufanya mas-hara na nchi kwani wizi wao sio tu kwamba wanaiba kura ila wameiba nchi pia.
Amewataka wananchi kuingia kifua mbele kwenye uchaguzi wakijua kwamba ACT ni washindi kwa kuwa wametumia nguvu, maarifa na ujana katika kuitumikia Zanzibar na kamwe wananchi hawatokubali kushindwa.
Amefahamisha kwamba chama hicho kinakwenda kwenye uchaguzi sio tu kupiga kura bali pia kulinda ushindi wao kwa kuwa chama hicho tayari kimeonesha kupata ushindi kwa kuwa wananchi wamedhamiria kupata ushindi .

Mgombea huyo amesema kwamba ni lazima kuirejesha nchi kwenye mstari na kwamba yapo mengi ambayo chama kimeyapanga kitakachoweka mustakabali mwema wa maendeleo ya Zanzibar.
Amefahamisha kwamba viongozi wanaopewa uongozi kwa njia haramu ni hasara kubwa hasa kwa muislamu kula chumo la haramu na watoto wao huku muhusika akaondosha mazingatio ya kula haramu muda wote.
Amesema kwamba mtazamo wa ACT hakuna sababu ya Zanzibar kuwa masikini kutokana na kuwepo sekta za lakini hivi sasa kazi hiyo halilipi kwa vile serikali haijajishughulisha kumuwezesha mvuvi kupata kipato kikubwa cha kazi hiyo.
Amesema kwamba bahari ya Zanzibar inasamaki wakutosha hadi sasa na kamwe wavuvi hawajawafika kwa vile hakuna zana za kuvulia na wananchi wakafainidika na rasilimali yao hiyo.
Amesema kwamba chama chake kikishinda watafuta teknolojia ya kweli na vyombo vya kweli ili wakavue kiukweli kwani Zanzibar inautajiri mkubwa sana lakini wananchi wanashindwa kwa kutowezeshwa.
Amefahamisha kwamba hivi sasa wavuvi wa pweza wanakwenda kuuza kenya wakipata fedha hudhani wamepata nyingi ilighali ni robo tu thamani halisi ya bei ya soko wanayopata kwa vile hawajawezeshwa.
Mgombea huyo pamoja na mambo mengine amesema kwamba tayari wamezungunza na kampuni ya kitaliana na kwamba wamekubali kuwawezesha wavuvi wa Zanzibar kuweza kuvua na kuuza kwa thamnai ya zaidi ya maratatu kwa bei ya sasa na kumudu kupambana na masikini.
Akizungunzia zao la chumvi amesema kwamba hata wizara ilipo haijulikani lakini kinachotakiwa ni kuwawezesha wakulima wa zao hilo kuongeza thamani na kuongeza bei ya zao hilo
Amefahamisha kwamba katika jitihada za kulikuza zao la chumvi wapo wataalamu wanaowafahamu na wameahidii iwapo watawezeshwa kuwepo kiwanda watanunua kwa bei nzuri chumvi yote itakayiozalishwa Zanzibar.
Amefahamisha kwamba ni wajibu wa serikali kukuwezesha na kuongeza thamani ya mazao yanayozalishwa nchini ili uongeze tija na akawataka wananchi kuwaunga mkono ili kushirikiana nao katika kuongeza kipato cha wananchi na wakulima nchini baada ya ushindi wa uchaguzi Oktioba mwaka huu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • ⚡️НОВОСТИ | СБИТ РОССИЙСКИЙ ВЕРТОЛЕТ | ЗАПРЕТ НА ВЫЕЗД УЖЕ РАБОТАЕТ | ТРАМП НАЧАЛ ЕЩЕ ОДНУ «СВО»
    ⚡️НОВОСТИ | СБИТ РОССИЙСКИЙ ВЕРТОЛЕТ | ЗАПРЕТ НА ВЫЕЗД УЖЕ РАБОТАЕТ | ТРАМП НАЧАЛ ЕЩЕ ОДНУ «СВО»
    1 час назад
  • Акына АСКАТА ЖЕТИГЕНА водворили в ШИЗО // На Шаирбека Ташиева слили компромат || 3 марта 2026 года
    Акына АСКАТА ЖЕТИГЕНА водворили в ШИЗО // На Шаирбека Ташиева слили компромат || 3 марта 2026 года
    15 часов назад
  • 🔴 СРОЧНО В ИРАНЕ ВЫБРАЛИ НОВОГО ВЕРХОВНОГО ЛИДЕРА - МОДЖТАБА ХАМЕНЕИ #новости #одиндень
    🔴 СРОЧНО В ИРАНЕ ВЫБРАЛИ НОВОГО ВЕРХОВНОГО ЛИДЕРА - МОДЖТАБА ХАМЕНЕИ #новости #одиндень
    3 часа назад
  • ПУТИН ТЕРЯЕТ КОНТРОЛЬ: Депутат прямо в Думе признал — война ПРОИГРАНА. Это конец
    ПУТИН ТЕРЯЕТ КОНТРОЛЬ: Депутат прямо в Думе признал — война ПРОИГРАНА. Это конец
  • RC PEMBA, AMTEMEA CHEHE OMO, ASEMA YEYE NI KISIKI CHAMPINGO HAKAMATIKI , ATAKAELETA VURUGU KUKIONA
    RC PEMBA, AMTEMEA CHEHE OMO, ASEMA YEYE NI KISIKI CHAMPINGO HAKAMATIKI , ATAKAELETA VURUGU KUKIONA
    1 год назад
  • KUMEKUCHA PROFESA WA GEOGRAPHY AMWAGA SIRI PEMBA KUCHELEWA KUPATA MAENDELEO HUJAWAHI KUZIJUA 1995
    KUMEKUCHA PROFESA WA GEOGRAPHY AMWAGA SIRI PEMBA KUCHELEWA KUPATA MAENDELEO HUJAWAHI KUZIJUA 1995
    1 год назад
  • 💥ДЕМЧЕНКО: Путин ОБДЕЛАЛСЯ ПОСЛЕ Ирана. ГИГАНТСКАЯ КАТАСТРОФА в экономике РФ
    💥ДЕМЧЕНКО: Путин ОБДЕЛАЛСЯ ПОСЛЕ Ирана. ГИГАНТСКАЯ КАТАСТРОФА в экономике РФ
    2 часа назад
  • Shuhudia Uzuri wa Kisiwa cha Pemba
    Shuhudia Uzuri wa Kisiwa cha Pemba
    3 месяца назад
  • Haya ndio maeneo ya Kengeja Pemba @discoverzanzibar 2025
    Haya ndio maeneo ya Kengeja Pemba @discoverzanzibar 2025
    9 месяцев назад
  • ЖИРНОВ: РФ ВСТУПИЛА В ВОЙНУ США И ИРАНА! Не поверите, ЧТО ОНИ ГОТОВЯТ. Реальный риск ЯДЕРНОГО ВЗРЫВА
    ЖИРНОВ: РФ ВСТУПИЛА В ВОЙНУ США И ИРАНА! Не поверите, ЧТО ОНИ ГОТОВЯТ. Реальный риск ЯДЕРНОГО ВЗРЫВА
    2 часа назад
  • Maeneo Huru ya Uwekezaji Micheweni Pemba
    Maeneo Huru ya Uwekezaji Micheweni Pemba
    1 год назад
  • Президент жеке учак жөнөттү! Жапаров: четтеги кыргыздар жеке учак менен келет!
    Президент жеке учак жөнөттү! Жапаров: четтеги кыргыздар жеке учак менен келет!
    8 часов назад
  • OMO AMJIBU MAJURA MIMI NI MSHAURI ILA SISHAURIWI
    OMO AMJIBU MAJURA MIMI NI MSHAURI ILA SISHAURIWI
    5 месяцев назад
  • ⚡️ Начался штурм столицы || Здание ЦРУ уничтожено
    ⚡️ Начался штурм столицы || Здание ЦРУ уничтожено
    4 часа назад
  • Hivi ndivyo OMO atakavyoifunguwa Pemba | KUELEKEA OKTOBA 2025
    Hivi ndivyo OMO atakavyoifunguwa Pemba | KUELEKEA OKTOBA 2025
    5 месяцев назад
  • ЖЕКЕ ишкерди КАРЫЗГА батырган ЭКС мэр ОШ | Talant Ak-Bulak.
    ЖЕКЕ ишкерди КАРЫЗГА батырган ЭКС мэр ОШ | Talant Ak-Bulak.
    15 часов назад
  • Dondoo za ziara ya OMO Darajani leo
    Dondoo za ziara ya OMO Darajani leo
    5 месяцев назад
  • Элдик медицина: Айыгуунун жолубу же бизнеспи? //
    Элдик медицина: Айыгуунун жолубу же бизнеспи? // "Аянт" ток-шоусу
    2 часа назад
  • Kumbe Pemba ni ya zamani sana
    Kumbe Pemba ni ya zamani sana
    4 года назад
  • MZEE ALI ALILIA SHAMBA LAKE, OMO AMPA NENO LA MATUMAINI
    MZEE ALI ALILIA SHAMBA LAKE, OMO AMPA NENO LA MATUMAINI
    5 месяцев назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com