WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA OYA MBARONI KWA KUDAIWA KUMUUA MUME WA MWANAMKE WALIOKUWA WAKIMDAI

Описание к видео WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA OYA MBARONI KWA KUDAIWA KUMUUA MUME WA MWANAMKE WALIOKUWA WAKIMDAI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya Juma Mfaume (40), Mfanyabiashara na mkazi wa Mbagala Mlandizi.

Tarehe 07-10-2024 katika Kitongoji cha Mbagala, Wilaya ya Kipolisi Mlandizi, Mkoa wa Pwani, watu wanne ambao ni wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, walifika nyumbani hapo kwa lengo la kudai fedha za marejesho ya mkopo kwa mke wa Juma Said Mfaume aitwaye Khadija Ramadhan...

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg

Комментарии

Информация по комментариям в разработке