NONGWA ZA MSIMU (EP. 4) | Yanga kuanzia raundi ya kwanza CAF na Singida BS kuweka kambi Avic Town

Описание к видео NONGWA ZA MSIMU (EP. 4) | Yanga kuanzia raundi ya kwanza CAF na Singida BS kuweka kambi Avic Town

NONGWA ZA MSIMU 21/07/2024 | Je, Yanga kuanzia raundi ya kwanza, na Simba kuanzia raundi ya pili kwenye michuano ya CAF, inamaanisha nini??? Nani mkubwa kati ya Simba na Yanga?

Gumzo kwenye kijiwe hiki leo ni ratiba ya Ligi ya Mabingwa iliyotoka hivi karibuni, ambapo Yanga imepangwa kuanzia raundi ya kwanza ya hatua za awali za mtoano dhidi ya Vital'O ya Burundi, wakati Simba ikisubiri hadi raundi ya pili dhidi ya mshindi kati ya Uhamiaji/Libya 1.

Jambo lingine ambalo bado ni gumzo ni uamuzi wa Singida Bla
ck Stars kuweka kambi yake Avic Town, yalipo makazi ya Yanga......

#NongwaZaMsimu ni kila Jumapili saa 3:30 usiku #AzamSports1HD

Комментарии

Информация по комментариям в разработке