Siitafuti Mali - Tumaini Shangilieni Choir

Описание к видео Siitafuti Mali - Tumaini Shangilieni Choir

Siitafuti Mali ni wimb unaotupeleka kutafakari mahusiano yetu na MUngu na hasa namna ambavyo tunahesabika kwa MUNGU mbinguni.
Damu ya Yesu yatutosha japo dhambi zetu ni nyingi sana.

Tumtegemee Yesu tutakua salama.



Mungu akubariki kwa kuwa sehemu ya familia yetu na hasa kwa kuchukua muda na kutazama wimbo huu.

Tafadhali usiache kuacha coment hapo chini, like na subscribe.

Tumaini Shangilieni Choir,
  / tumainishangilieni.choir   ;   / tumainishangilienichoir  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке