Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть YESU NI RAFIKI WA KWELI NA ASKOFU MSTAAFU WA JIMBO LA ARUSHA MHASHAMU JOSAPHAT LEBULU

  • Jugo Media Network
  • 2019-08-03
  • 8118
YESU NI RAFIKI WA KWELI NA ASKOFU MSTAAFU WA JIMBO LA ARUSHA MHASHAMU JOSAPHAT LEBULU
  • ok logo

Скачать YESU NI RAFIKI WA KWELI NA ASKOFU MSTAAFU WA JIMBO LA ARUSHA MHASHAMU JOSAPHAT LEBULU бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно YESU NI RAFIKI WA KWELI NA ASKOFU MSTAAFU WA JIMBO LA ARUSHA MHASHAMU JOSAPHAT LEBULU или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку YESU NI RAFIKI WA KWELI NA ASKOFU MSTAAFU WA JIMBO LA ARUSHA MHASHAMU JOSAPHAT LEBULU бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео YESU NI RAFIKI WA KWELI NA ASKOFU MSTAAFU WA JIMBO LA ARUSHA MHASHAMU JOSAPHAT LEBULU

Kristo Yesu ni rafiki wa kweli na chanzo cha maisha mapya!


Watu wawili wasiofahamiana mmoja mwanamke na mwingine mwanaume walikuwa wamekaa katika benchi moja katika bustani ya mapumziko. Yule mwanamke alikuwa anasoma Biblia, habari juu ya Yona. Yule mwanaume aliona sehemu ya Maandiko Matakatifu aliyokuwa akisoma yule mwanamke. Baada ya ukimya fulani yule mwanaume akamuuliza yule mwanamke kama kweli anaamini kuwa Yona alikaa katika tumbo la samaki kwa siku tatu. Yule mwanamke akamwambia kuwa Biblia inatuambia hivyo. Yule mwanaume akamuuliza je na kama si kweli hivyo? Yule mwanamke akamwambia kuwa atamwuliza nabii Yona watakapokutana mbinguni. Yule mwanaume akamwambia na je kama nabii Yona hayuko mbinguni itakuwaje? Yule mwanamke akamjibu basi utamwuliza wewe.

Hakika katika mfano huu tunaona imani ya ajabu ya yule mama, imani kubwa na iliyo na msingi imara. Bahati mbaya sisi tunataka kujua kila kitu hasa kihusucho Mungu, na mbaya zaidi tunataka tujue tunavyotaka sisi. Meister Eckhart anasema baadhi ya watu wanataka kumwona Mungu kwa macho kama wanavyomwona ng’ombe na kumpenda Mungu kama wanavyopenda ng’ombe wao kwa kiasi cha maziwa, jibini na faida wanayoipata toka kwa ng’ombe huyo.

Pengine namna hii ya kufikiri ndiyo inaweza kuwa sababu au kikwazo kwa imani ya wengi. Je, ufahamu wetu wa kile alichofanya Kristo ukoje? Je, mahusiano yetu na Kristo yakoje? Bwana na mtumwa au rafiki na rafiki? Wakati mwingine mtazamo uko wa bwana na mtumwa na kwa kweli katika aina hii ya urafiki, uhusiano unakita zaidi kwenye woga. Wengine ni uhusiano wa urafiki na ukaribu unakuwepo. Yesu anasema mwenyewe – Yoh. 15, 15 – siwaiti tena watumwa, kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake, lakini ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu, nimewaarifu.

Kwa maelezo haya yaonekana wazi jinsi Bwana Yesu anavyotaka uhusiano wetu uwe. Maisha ya ukristo yatuita katika ukuaji – tunapoanza maisha ya imani – uhusiano wa mtumwa na bwana unaonekana lakini kadiri tunavyozidi kukua na kukomaa katika imani mahusiano yetu yanabadilika – yanajengeka mahusiano ya kirafiki kwa vile tunashirikishwa pia siri za ufalme wa Mungu. Injili ya leo yatupa changamoto kubwa – kuangalia imani yetu na ukomavu wetu kama unavyoonekana katika mapendo kati yetu, mahusiano yetu na ushirikiano wetu.

Ni kwa kiasi gani tunaifahamu hiyo siri ya Mungu ambayo Kristo ametufunulia? Kiasi kwamba tunakuwa rafiki zake Kristo? Hakika ufahamu wa kina wa Kristo ni nani na kile alichofanya kwa ajili yetu unageuza mahusiano yetu na Mungu Baba na pia maisha yetu ya ushuhuda – Yoh. 15,7 – ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo nanyi mtatendewa. Pia tunasoma katika Yoh. 15,16 – si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi, nami nikawaweka mwende mkazae matunda, na matunda yenu yapate kukaa, ili kwamba lolote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni.

Hakika Mwenyezi Mungu anategemea na anatarajia makuzi toka kwetu. Kama vile mtoto azaliwavyo na kukua vivyo hivyo nasi tuna changamoto ya kukua na kuendelea mbele katika ushuhuda wa imani yetu. Hii ofa ya urafiki wa Mungu kwetu ituwajibishe na kutufikirisha sana. Eti Mwenyezi Mungu anakuwa rafiki yetu. Sote twajua sifa za urafiki. Waswahili husema - akufae kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli. Wafaransa husema – rafiki mwaminifu ni taswira ya Mungu. Waitaliano husema – ampataye rafiki wa kweli amepata dhahabu. Hii ni baadhi tu ya mifano inayojaribu kuonesha umaana na umuhimu wa urafiki. Urafiki wa kweli hudumu, hubaki, hukua na kuzaa matunda - kama tunavyosoma kutoka Yoh. 15,7 – tunaalikwa tukae ndani yake Kristo na kuzaa matunda.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • MFAHAMU ASKOFU MKUU MSTAAFU JOSAPHAT LEBULU,KUZALIWA,WITO NA UTUME WAKE MAJIMBO YA SAME NA ARUSHA
    MFAHAMU ASKOFU MKUU MSTAAFU JOSAPHAT LEBULU,KUZALIWA,WITO NA UTUME WAKE MAJIMBO YA SAME NA ARUSHA
    3 года назад
  • Sikiliza Kisa Hiki Vizuri | Kubali Kuingia Kwenye Baraka za Familia | Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Sikiliza Kisa Hiki Vizuri | Kubali Kuingia Kwenye Baraka za Familia | Rev. Dr. Eliona Kimaro
    1 год назад
  • #LIVE: Misa Takatifu ya Asubuhi Alhamisi 05/03/2026 |St. Peter Osyterbay-DSM, Jimbo Kuu la DSM.
    #LIVE: Misa Takatifu ya Asubuhi Alhamisi 05/03/2026 |St. Peter Osyterbay-DSM, Jimbo Kuu la DSM.
    Трансляция закончилась 1 час назад
  • AMKA NA BBC SWAHILI LEO 05/03/2026 Alhamisi #bbcswahili #bbcswahilileo #dwkiswahili #habarileo
    AMKA NA BBC SWAHILI LEO 05/03/2026 Alhamisi #bbcswahili #bbcswahilileo #dwkiswahili #habarileo
    2 часа назад
  • Powerful Swahili Worship Songs | Ombi Langu, Hakuna Silaha, Mimi Siwezi | Deep Prayer Worship Mix
    Powerful Swahili Worship Songs | Ombi Langu, Hakuna Silaha, Mimi Siwezi | Deep Prayer Worship Mix
    2 месяца назад
  • Трамп на перепутье: маленькая война буксует — к большой США не готовы /№1104/ Юрий Швец
    Трамп на перепутье: маленькая война буксует — к большой США не готовы /№1104/ Юрий Швец
    8 часов назад
  • Utayapenda mafundisho ya Askofu Mkuu Lebulu/ Upendo usiwe wa unafiki/ Chukieni lolote ovu.
    Utayapenda mafundisho ya Askofu Mkuu Lebulu/ Upendo usiwe wa unafiki/ Chukieni lolote ovu.
    1 год назад
  • HOMILIA YA ASKOFU MKUU MSTAAFU LEBURU WAKATI WA MISA YA JUBILEI MIAKA 25 YA UAPDRE ASKOFU LAGWEN
    HOMILIA YA ASKOFU MKUU MSTAAFU LEBURU WAKATI WA MISA YA JUBILEI MIAKA 25 YA UAPDRE ASKOFU LAGWEN
    1 год назад
  • Biteko akemea ubaguzi ahimiza umoja wa Kitafa
    Biteko akemea ubaguzi ahimiza umoja wa Kitafa"Ni katika lbada ya kuwekwa Wakfu Askofu Robert Pangani
    1 год назад
  • DEEPEST SWAHILI WORSHIP & PRAYER SONGS | Uongezeke Yesu • Asante Kwa Neema • Shukrani Isiyoisha
    DEEPEST SWAHILI WORSHIP & PRAYER SONGS | Uongezeke Yesu • Asante Kwa Neema • Shukrani Isiyoisha
    1 месяц назад
  • ASKOFU LEBULU AFAFANUA HAYA KUHUSU KWARESMA NA MAANA YA KUFUNGA SIKU 40
    ASKOFU LEBULU AFAFANUA HAYA KUHUSU KWARESMA NA MAANA YA KUFUNGA SIKU 40
    3 года назад
  • WAUMINI WABAKI HOI KANISANI/ASKOFU MKUU LEBULU MWENYE KIPAJI NA KARAMA YA AJABU/SHUHUDIA ALICHOFANYA
    WAUMINI WABAKI HOI KANISANI/ASKOFU MKUU LEBULU MWENYE KIPAJI NA KARAMA YA AJABU/SHUHUDIA ALICHOFANYA
    4 года назад
  • Mahubiri Jubilei Askofu Lebulu Same
    Mahubiri Jubilei Askofu Lebulu Same
    4 года назад
  • HOMILIA YA ASKOFU MKUU MSTAAFU LEBULU KWA WAHITIMU WA KWANZA ARCBISHOP JOSEPHAT- MAKANYA SAME
    HOMILIA YA ASKOFU MKUU MSTAAFU LEBULU KWA WAHITIMU WA KWANZA ARCBISHOP JOSEPHAT- MAKANYA SAME
    2 года назад
  • MASIFU YA JIONI KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU ARUSHA.
    MASIFU YA JIONI KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU ARUSHA.
    7 лет назад
  • Mafundisho ya Askofu Mstaafu Josephat Lebulu, Wiki ya Neema Siku ya 6 | Parokia ya Kinyerezi.
    Mafundisho ya Askofu Mstaafu Josephat Lebulu, Wiki ya Neema Siku ya 6 | Parokia ya Kinyerezi.
    3 года назад
  • IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU PANGANI KMT-JKM MBEYA
    IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU PANGANI KMT-JKM MBEYA
    1 год назад
  • SHUHUDIA MOTO WA ASKOFU MKUU LEBULU KWA MAPADRE/VICHEKESHO VYATAWALA JIMBONI MBULU.
    SHUHUDIA MOTO WA ASKOFU MKUU LEBULU KWA MAPADRE/VICHEKESHO VYATAWALA JIMBONI MBULU.
    5 лет назад
  • #LIVE: Misa Takatifu ya kumwombea na Mazishi ya Sr. M. Veronica Matias Baha | Boko,Jimbo la Bagamoyo
    #LIVE: Misa Takatifu ya kumwombea na Mazishi ya Sr. M. Veronica Matias Baha | Boko,Jimbo la Bagamoyo
    Трансляция закончилась 20 часов назад
  • NGUVU YA MUDA WAKO BINAFSI NA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 05/03/2023
    NGUVU YA MUDA WAKO BINAFSI NA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 05/03/2023
    Трансляция закончилась 2 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com