Imani Yangu official Video na

Описание к видео Imani Yangu official Video na

Karibuni kutazama Wimbo uitwao Imani Yangu.
Wimbo huu ni utunzi maalum wake Mwalimu Kidaluso Elias Fidelis. Wimbo Mtamu sana ambao unatukumbusha kuhusu Imani yetu katoliki. Tumeuimba wimbo huu ili kumsifu Mungu na Kuuenzi utunzi mzuri wa Mwalimu Elias Kidaluso Fidelis pamoja na Walimu wengine wanaofanya vyema sana

Organist: Charles Mwangi
Singers: Tabitha Mutuli, Muli Franc na Charles Mwangi.
Studio: Starvision Media Pro.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке