Jux - Tanzania [Magufuli] (Official Audio)

Описание к видео Jux - Tanzania [Magufuli] (Official Audio)

Jux deriver new single called Tanzania. This song Jux dedicates to all Tanzanian 🇹🇿 Citizens in the world.



Mapepe and Sawa official audios are out now. KingOfHearts


Available Worldwide:
http://africori.to/juxthelovealbum.oyd

© 2021 African Boy

Follow Jux
Facebook:   / juma-jux-553  
Instagram:   / juma_jux  
Twitter:   / africanboyjux  

More from Jux:
Now You Know ft. Q Chief:    • Jux - Now You Know [Feat. Q Chief] (O...  
Wambela ft. Ruby:    • Jux - Wambela [Ft. Ruby] (Official Au...  


Lyrics
Tanzania - Jux
...
Intro;
Ah aah aah-ah
Ah aah aah-ah
Ah aah aah-ah

Verse:
Nasitaumia moyo wangu
Nitasherehekea maisha yako, Baba
Nimejifunza mengi
Mengi sana, Kwako baba
Kwanza muda sio rafiki sana
Miaka sita tu umefanya vya maana
Tanzania yote kuna yako alaama (kuna yako alama)

Pre-Chorus:
Wanasema uoga kiza kinene
Haukua nao
Tulipojiuliza nani aseme, uliongea nao baba
Sasa nani, (sasa nani)
Sasa nani ataziba pengo
Kufukia malengo (aah-ah)

Chorus:
Tanzania, Tanzania
Mama Samia Mungu akupe nguvu
Tanzania, Tanzania
Watanzania tupendanee
Tanzania, Tanzania (Oh, oh-oh my Tanzania)
Tanzania, Tanzania (Baba , Baba)
X2
Tanzania, Tanzania (Eeh my Tanzania)
Tanzania, Tanzania
Tushikamanee
Tanzania, Tanzania (ah, aah-ah)
Tanzania, Tanzania
Nchi yangu Tanzania

#Jux #Tanzania #Magufuli

Комментарии

Информация по комментариям в разработке