Huniongoza Mwokozi. Nyimbo za Kristo No:151 by Gideon Kasozi

Описание к видео Huniongoza Mwokozi. Nyimbo za Kristo No:151 by Gideon Kasozi

Subscribe    / @7t7ministryenglish24   ili upate kubarikiwa na nyimbo za ibada kwa lugha ya kiingereza

1. Huniongoza Mwokozi, ndipo nami hufurahi,
Niendapo pote napo, ataniongoza papo.

Kuongoza hunishika; kwa mkono wa hakika;
Nitaandamana naye Kristo aniongozae.

2. Pengine ni mashakani nami pengine rahani;
Ni radhi, ijayo yote, yupo nami siku zote.

3. Mkono akinishika kamwe sitanung’unika;
Atakachoniletea ni tayari kupokea.

4. Nikiisha kazi chini sita kimbia mauti;
Kushinda ni ya hakika nikiongozwa na Baba.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке