Kariakoo Mtaa wa Congo kuna balaa | I think you should not come to this place alone | Vlog

Описание к видео Kariakoo Mtaa wa Congo kuna balaa | I think you should not come to this place alone | Vlog

Habari asante kwa kutazama Video ninazoziweka kila wakati hapa,  nilipata nafasi ya kuja eneo la Mtaa wa Congo Kariakoo  Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam na kutembelea eneo hili maarufu lenye Wamachinga wengi zaidi kunauzwa bidhaa za Nguo na Viatu vyote vikiwa ni vipya ukija pekeako utatamani ungekuja na mwenzio ili mfaidi wote vitu vizuri na kwa gharama nafuu zaidi,  Karibu kutembelea Kariakoo.

Kama hujatazama Video ya Gongo la Mboto unaweza  kubonyeza hapa kwenye Link 👉👉    • Gongo la Mboto Dar es Salaam patakush...   pia naomba usisahau kuniunga mkono kwa kubonyeza neno Subscribe 🙏



Kama ni mala yako ya kwanza kutazama Mtindo wa Video zangu za Vlog nakukaribisha sana katika Channel yangu.

Naomba uniunge Mkono kwa Kubonyeza neno Subscribe 🙏
.
.
.
.
Hellow, my name is Swahili the Traveller 'm from Tanzania, East Africa. I love travelling in different places mostly new places to meet new people and learn the overall lifestyle of different people and show the reality of every stuff.

Please Subscribe my Backup Channel 👇👇

YOUTUBE
   / @swahilithetravels  

INSTAGRAM
https://www.instagram.com/invites/con...

Twitter
https://twitter.com/Swahilitravel25?t...


TIKTOK
https://www.tiktok.com/@swahilithetra...



WhatsApp
https://whatsapp.com/biz/

Support Me 🙏👇👇

World remit or AirtelMoney +255 692 499 666 | WhatsApp

#traveling #vlog #travels #adventure #africa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке