Watu 2 wapigwa risasi na mfanyabiashara Mombasa

Описание к видео Watu 2 wapigwa risasi na mfanyabiashara Mombasa

Watu wawili walipigwa risasi na mfanyibiashara mmoja kaunti ya Mombasa baada ya genge la wahuni kuvamia hoteli yake katikati mwa jiji hilo. Inasemekana mfanyabiashara huyo alishikwa na hasira baada ya vijana wanaoaminika kuwa wahuni kupora mali katika mkahawa moja na hata kuteketeza baadhi ya magari kwenye barabara ya Nyerere.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке