NJIA 4 ZA KUFIKIA NDOTO ZAKO | Ezden Jumanne

Описание к видео NJIA 4 ZA KUFIKIA NDOTO ZAKO | Ezden Jumanne

Karibu tujifunze mambo manne / njia nne (4) za kuweza kufikia ndoto zako kupitia kitabu cha jinsi ya kufikia ndoto zako kiliachoandikwa na Godius Rweyongeza.

Mwandishi anafafanua zaidi juu ya tabia:
1) Kuna tabia za kuacha mara moja.
2) Kuna tabia za kupunguza.
3) Kuna tabia za kuongeza.
4) Kuna tabia mpya kabisa za kujifunza
.
NUNUA KITABU HIKI LEO:
BEI: 20,000 TZS
SIMU: 0755848391
.
Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent/ Content Entreprenuer
Instagram: @ezdenjumanne
Twitter: @ezdenjumanne
Facebook: Ezden Jumanne
Phone: (+255)759 191 076
Website: http://tinyurl.com/voiceovertanzania
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
   / hamasayaleo  
.
JE WAJUA?👇🏽
   / @mediacraftstudiotz  
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
http://tinyurl.com/matangazo
.
.
#Fikia #Ndoto #Zako

Комментарии

Информация по комментариям в разработке