TANGANYIKA WATOA TAMKO BAADA YA UCHAGUZI

Описание к видео TANGANYIKA WATOA TAMKO BAADA YA UCHAGUZI

KATAVI: VIONGOZI wa dini, Siasa na Serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kwa pamoja wamekubaliana kudumisha amani na usalama baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa ikiwemo kuwahimiza wananchi na waumini kutofanya maandamano yatakayochelewesha maendeleo kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu katika kikao alichofanya na viongozi hao ofisini kwake chenye lengo la kufanya kazi kwa ushirikiano na kuhubiri amani baada ya kumalizika kwa zoezi zima la uchaguzi.


Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo:   / spotileo-176.  .
HabariLeo:   / habarileo  
DailyNews:   / dailynewstz  

INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...

TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Комментарии

Информация по комментариям в разработке