Ushemasi Hamilton M. Kikoti · Roma 8/5/2021

Описание к видео Ushemasi Hamilton M. Kikoti · Roma 8/5/2021

KAMA UNAPATA SHIDA KUONA AU KUSIKIA STREAMING HII, REJEA   / live_videos  

Ibada ya daraja ya ushemasi ya Hamilton Kikoti, mseminari wa Seminari ya Kimisionari ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam, atakayopewa Roma pamoja na waseminari wengine, kwa kuwekewa mikono na sala ya wakfu na Mwadhama Angelo Kard. de Donatis, Halifa wa Baba Mtakatifu Roma.

Ujue zaidi kuhusu Seminari yetu 👉 http://srmtanzania.org

Комментарии

Информация по комментариям в разработке