MBONI II. Latest Swahili Film

Описание к видео MBONI II. Latest Swahili Film

Mboni ni Binti anaekutana na maswahibu katika ulimwengu wagiza. Wachawi waliamua kumtesa Kwa kosa la kutokuolewa na mtoto wa Mzee Mangungu. Hivyo Mzee Mangungu anaamua kumficha kimazingara Kwa lengo la kumkomesha Kwa kiburi alichomganyia Mzee huyo Kwa kutokubali kuplewa na mtoto wake. Nini kitajiri? Mboni ataweza kujiokoa katika mtego huu mgumu?

Комментарии

Информация по комментариям в разработке