Msichana wa miaka 12 ajinyonga nyumbani kwao Eldoret

Описание к видео Msichana wa miaka 12 ajinyonga nyumbani kwao Eldoret

Wakazi mjini Eldoret wameshangazwa na tukio la msichana wa miaka 12 kujinyonga nyumbani kwao. Wakazi wamesema mtoto huyo alikuwa akipitia hali ngumu ya maisha jambo ambalo huenda lilimfanya kujitoa uhai. Mtoto huyo alijinyonga akitumia kamba za viatu vyake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке