Kwanini nilisoma Ph.D in Nursing in USA, na pia kuwa Financial Advisor | Dr Veronica

Описание к видео Kwanini nilisoma Ph.D in Nursing in USA, na pia kuwa Financial Advisor | Dr Veronica

Dr. Veronica Njwaba alikuja USA mwaka 2008 baada ya kumaliza high school, Tanzania 🇹🇿. Sasahivi ana PhD in Nursing na pia Certified Financial Advisor

Kwa waliopo USA 🇺🇸 wanaweza kuwasiliana naye kwa namba +1 501 269 8958 kupata ushauri wa emergency funds, debt management, retirement planning etc

#retirementplanning #retirement #ebmscholars

Комментарии

Информация по комментариям в разработке