NOMA! MELI INAVYOCHIMBA KUONGEZA KINA CHA BAHARI KWENYE BANDARI YA TANGA

Описание к видео NOMA! MELI INAVYOCHIMBA KUONGEZA KINA CHA BAHARI KWENYE BANDARI YA TANGA

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeanza upanuzi wa bandari ya Tanga kwa kuongeza kina  ili meli ziweze kufika karibu na gati kwa ajili ya kushusha na kupandisha shehena mbalimbali za mizigo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке