Raila atetea hatua ya kuitisha mazungumzo na Rais Ruto

Описание к видео Raila atetea hatua ya kuitisha mazungumzo na Rais Ruto

Kinara wa azimio Raila Odinga ametetea hatua yake ya kuitisha mazungumzo na Rais William Ruto akitaja mazungumzo hayo kuwa yatakayoendeshwa na wakenya wenyewe.
Akizungumza katika kaunti ya kakamega katika mazishi ya nduguye naibu kinara wa chama cha ODM Wycliffe Oparanya, Odinga amesema kuwa katika mazungumzo hayo wakenya walijitokeza kuonyesha kutokuwa na imani na bunge, serikali kuu na mahakama.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке