NILIKUA MPIGA DEBE TARIME |SASA NINA DEGREE YA UUGUZI SWEDEN |NILIANDAA NDOA HATA SIJUI KAMA ATANIOA

Описание к видео NILIKUA MPIGA DEBE TARIME |SASA NINA DEGREE YA UUGUZI SWEDEN |NILIANDAA NDOA HATA SIJUI KAMA ATANIOA

Rhoby ameeleza Safari yake ya maisha kutoka Tarime mpaka kufika Sweden, kutoka kwenye familia ambayo kusomesha mwanamke ni hasara mpaka kupata elimu yake ya degree ya nursing.

Ametoa mafunzo mengi.
Thank you Rhoby, for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке