KAZI YANGU IKIISHA John Simba (Official Video Lyrics)

Описание к видео KAZI YANGU IKIISHA John Simba (Official Video Lyrics)

Daima imekuwa mojawapo ya nyimbo ninazozipenda sana kwa sababu inahusu mbinguni na tumaini la kila Mkristo linapaswa kuwa kumuona Bwana wetu, uso kwa uso. Hiyo itakuwa siku nzuri sana!

Nakualika tuimbe pamoja huku tukitafakari haya maisha ya hapa duniani yakiisha what is next step.. jifanyie tadhimini binafsi.

#kwayakatoliki #kkkt #kkktkariakoomorningglory ##nyimbozawokovu #gospel

Комментарии

Информация по комментариям в разработке