Jinsi ya Kupika Mchemsho wa Samaki na Ndizi.

Описание к видео Jinsi ya Kupika Mchemsho wa Samaki na Ndizi.

Mapishi Yana ujuzi tofauti tofauti kulingana na Kila mtu Jinsi anavyopenda na kuvutiwa na upishi wake... so napenda ku share nanyi njia rahisi sana ya Jinsi ya Kupika Mchemsho wa Samaki Aina ya sato.

MAHITAJI
.Samaki 1kg
. Ndizi 3
. Kitunguu swaum
. Tangawizi
. Karoti
. Hoho 1/2
.Pilipili ya kuwasha
. spinach
. Chumvi
. Fish masala 1/2 kijiko
. Black pepper

................................................................................................................................................
jinsi ya kupika mchemsho wa samaki,
jinsi ya kupika mchemsho wa samaki na viazi,
jinsi ya kupika mchemsho wa samaki na ndizi,
jinsi ya kupika mchemsho wa samaki sato,
namna ya kupika mchemsho wa samaki,
jinsi ya kupika mchemsho,
jinsi ya kupika mchemsho wa ndizi na samaki,
mchemsho wa samaki,
jinsi ya kuandaa mchemsho wa samaki,
kupika mchemsho wa samaki,
jinsi ya kupika samaki mchemsho
.......................................................................................................................
#easyrecipe #mapishiyakiswahili #mapishirahisi #food #foodlover #africanfood #tanzanianyoutuber #samaki #fishsoup #fishrecipe

Комментарии

Информация по комментариям в разработке