Yanga SC 0-2 Al Hilal | Neno la makocha baada ya mechi | CAF CL 26/11/2024

Описание к видео Yanga SC 0-2 Al Hilal | Neno la makocha baada ya mechi | CAF CL 26/11/2024

“Yanga walikuwa bora sana mwanzoni mwa mchezo na sisi tuliamua kukaa nyuma…. tulizuia zaidi kuliko kucheza mpira”

Kocha wa Al Hilal Frolent Ibenge anaeleza kilichowapa ushindi leo dhidi ya yanga akisema mfumo wa kujilinda walioingianao leo waliufanyia mazoezi hivyo wachezaji walikuwa wanajua cha kufanya hasa wanapokuwa hawana mpira ili kutoruhusu goli…

Ibenge anasema licha ya kupata ushindi, hawajacheza kwenye kiwango chao na hilo ni somo kwao kuelekea mechi zijazo…

Naye kocha wa Yanga, Saed Ramovic anasema kilichowagharimu leo ni utimamu wa miili “fitness level” na kutotumia nafasi chache walizopata…
Ramovic nasema kupoteza leo siyo mwisho kwani bado kuna mechi nyingine tano hivyo watafanya uchambuzi ili kurekebisha makossa kuelekea mechi zijazo…

Комментарии

Информация по комментариям в разработке