Hii ni Ekaristi | Imbeni kwa Furaha | Sauti Tamu Melodies (Alhamisi Kuu | Holy Thursday)

Описание к видео Hii ni Ekaristi | Imbeni kwa Furaha | Sauti Tamu Melodies (Alhamisi Kuu | Holy Thursday)

Hii ni ekaristi, aliyotuachia, Bwana Yesu Kristu, mkombozi wa dunia
Imbeni - imbeni kwa furaha, sifuni - sifuni ekaristi
Alimo - alimo Yesu Kristu, alimo ni mzima

Sikukuu ya Mwili na Damu ya Yesu Kristu | Corpus Christi, kupokea Ekaristia takatifu

Mtayarishaji - Martin Mutua Munywoki

#SautiTamu #Zilipendwa

sms SKIZA 7482443 to 811

Комментарии

Информация по комментариям в разработке