FAIDA ZA URAIA PACHA (Dual Citizenship) KWA TANZANIA

Описание к видео FAIDA ZA URAIA PACHA (Dual Citizenship) KWA TANZANIA

#uraiapacha #Tanzania #uraia
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania kazungumza jinsi wizara inavyoshughulia suala la uraia pacha au hadhi maalum kwa Watzanania waliochukua uraia wa nchi nyingine na kukoma kuwa Watanzania.

Nilikuwa nafanya YouTube Livestream ambapo watu walikuwa wanataka kujua faida na changamoto za mtu kuwa na uraia wa nchi mbili au hadhi maalum kwa Watanzania hao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке